Jumapili Oktoba 10, ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, hafla ya ulimwengu ambayo inakusudia kuhamasisha jamii kuelewa juu ya hali ya afya ya akili. Kauli mbiu ya mwaka huu, iliyowekwa na Shirikisho la ...
Mashambulizi ya Israel yanaendelea huku misaada ya kibinadamu ikianza kuingia Gaza kwa kiwango kidogo Gaza. UN na mashirika ya misaada yanasema kiwango hicho hakitoshi hata kidogo kukidhi mahitaji ya ...
Mikataba ya Geneva na ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa ilianzishwa baada ya Vita Kuu ya Pili ili kudumisha amani na kuwalinda watu walio katika maeneo ya vita, lakini mikataba hiyo inaonekana ...
Demokrasia ni moja ya nyenzo inayoweza kuleta ya ustawi ndani ya jamii na ndiyo maana siku ya Demokrasia huadhimishwa kimataifa kila Septemba 15 ya kila mwaka kama njia ya kuhamasisha ustawi wake.